Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Tumia app mpya au tumia web tu2303... Mods wameamua kunirudishia notfication last tim kuzion ilikua ni trh 20 decmber, wamebakiz kimoj tu baadh ya nyuz zao hazifunguki huku kweny app ngoj niendelee kuvumilia tu
Hazifungukije?2303... Mods wameamua kunirudishia notfication last tim kuzion ilikua ni trh 20 decmber, wamebakiz kimoj tu baadh ya nyuz zao hazifunguki huku kweny app ngoj niendelee kuvumilia tu
Tumia app mpya au tumia web tu
Polee sana tumia app mpyashida napatag uvivu kufany update, nilijaribu browsr ila featur zake zikanishind nikaw nmeachana nayo
Hazifungukije?
Beibiiii umeanza kuchepuka?saw jirani next time nitakaribia tufurahi wote[emoji23][emoji23]
Polee sana tumia app mpya
Update mamyuki click kufungua uzi inaleta makitu kama haya,, na huu ni uzi wangu pendwaa wa vituko mtandaoni ila navumiliaView attachment 2944692
Beibiiii umeanza kuchepuka?
Safi sana, endelea ku report kwangu😃.Tumeshaanza kuwaweka idara tofauti tofauti
Ok shemasanteee.. sawa nitafany hivyoo
Sitaki uende kwake😡 jirani mwenyewe anaishi peke yakehapan love wangu huy ni jiran yetu hana madhara kabisaa
Ila India wali tengeneza, Sena wali feli bendera feki😃🤓
23;1423:13
Ok shem
Ndio afande 🧑🚒Safi sana, endelea ku report kwangu😃.
Sitaki uende kwake[emoji35] jirani mwenyewe anaishi peke yake