Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkubwa kwenye ulinzi humu, hata wewe huwa una piga salute ujue😃🤣Ndio afande 🧑🚒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa kwenye ulinzi humu, hata wewe huwa una piga salute ujue😃🤣Ndio afande 🧑🚒
Aaah kumbe familia ameirudisha? Kuna kipindi nilisikia anaishi mwenyewe mke wake kaenda kujifungulia kijijinibeiby hata siwez kwenda naanzaje kwa mfano, alf umesahau mbon anaish na familia yake kabisa kwan yule mama nanii haumjui[emoji15]
Wewe ni kuruta kwangu😂Mkubwa kwenye ulinzi humu, hata wewe huwa una piga salute ujue😃🤣
Hiyo saa yako mbovu japo kuna muda inasema ukweli23;14
Ume Anza kuwa Kama yule dogo, vipi tuweke challenge mkuu 🤒🤣😂Wewe ni kuruta kwangu😂
23:21Hiyo saa yako mbovu japo kuna muda inasema ukweli
23:2223:21
Aaah kumbe familia ameirudisha? Kuna kipindi nilisikia anaishi mwenyewe mke wake kaenda kujifungulia kijijini
Challenge na wazee? Kua na huruma na sisi mkuuUme Anza kuwa Kama yule dogo, vipi tuweke challenge mkuu 🤒🤣😂
Hapo sawa mama watoto wasiliana na mke wake muandaè siku twendeamesharudi na watoto mapacha, tupange siku tukamtembelee tumpe na hongera au unasemaje laazizi wangu[emoji3590]
Hapo sawa mama watoto wasiliana na mke wake muandaè siku twende
Babu naomba Dola 20 hapoHakuna kazi ngumu kama Kulala ukiwa na hela nyingi ndani ya nyumba, yaani ukisikia sauti kidogo nje unaamka kukagua hela zako kuona kama zipo 🙌
Na hapo ni shilingi laki 1, sijui wale wanaokuwaga na milioni milioni kama hata Usingizi huwa wanapata(ga) 😜
11:27 PM
Hahaha........hiyo dollar 20 mwenzio ndiyo naendea kuongezea Mke hivi karibuniBabu naomba Dola 20 hapo
Kumbe babuHahaha........hiyo dollar 20 mwenzio ndiyo naendea kuongezea Mke hivi karibuni
Maana Bibi yenu amekubali niongeze Mke wa pili baada ya kuona baridi linataka kuniua Babu yenu 😜