JamiiForums Usiku wa manane

Makapuku forum ila wewe simpo pair pia
Usinambie kule watu wanaishi kiukoo.
Ngoja siku nikawatembelee.
Hao dawa yao nikuwaibukia mkiwa kama wanne hivi. Kisha mnahakikisha mmerudisha ujamaa na kujitegemea kama ule wa azimio la Arusha
Kweli dingi maana kama huna ntu utaishia kupiga like.. Kapuku forum ilikua ya May kurudi nyuma, tulikua kama ndugu full stories na kufahamiana physically
 
Siku hz haina mvuto ukienda hutaelewa chochote zamani ilikua bomba sana hadi forum zingine inakua huend coz kila kitu kilikua kinapatikana mile masela tunashea..
Looo I real miss my Dear Paprika and Ukhuty
Usinambie kule watu wanaishi kiukoo.
Ngoja siku nikawatembelee.
Hao dawa yao nikuwaibukia mkiwa kama wanne hivi. Kisha mnahakikisha mmerudisha ujamaa na kujitegemea kama ule wa azimio la Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…