Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
SijakuelewaUsiwe na jazba mpendwa, mbona washtuka hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijakuelewaUsiwe na jazba mpendwa, mbona washtuka hivo
Usinambie kule watu wanaishi kiukoo.Makapuku forum ila wewe simpo pair pia
Kweli dingi maana kama huna ntu utaishia kupiga like.. Kapuku forum ilikua ya May kurudi nyuma, tulikua kama ndugu full stories na kufahamiana physically
Kweli kabisa ila ningekomaa nami saiv ningesha pata mrs kama jamaa flani hiv
Alaa kumbe ni kubebishana tena. Basi huko hakunifai,nisije nikafa kwa presha bure na huu wivu wanguKweli kabisa ila ningekomaa nami saiv ningesha pata mrs kama jamaa flani hiv
Nasema hiv, chuga nimekaa ila mitaa hiyo uliyotaja ya china mbona siijuiSijakuelewa
Wenye vyama kazi mnayoNdio ivoo kama ugomvi na mama wa kambo
[emoji124] [emoji124]Nani..?
**** na Zuleykha boss utampata..
Eeh wivu tena, jomon nawe si unawa kwakoAlaa kumbe ni kubebishana tena. Basi huko hakunifai,nisije nikafa kwa presha bure na huu wivu wangu
Usinambie kule watu wanaishi kiukoo.
Ngoja siku nikawatembelee.
Hao dawa yao nikuwaibukia mkiwa kama wanne hivi. Kisha mnahakikisha mmerudisha ujamaa na kujitegemea kama ule wa azimio la Arusha
Jamani siamini kuwa nilipishana nawe kipenzi changu. I miss you more my dearThad mydear friend I really miss you ujue. Hii comment yako imenifurahisha sana jamani.
Eeeeh ninaumwa wivu,nikionaga watu wanabibisha, ugonjwa wangu huamkaEeh wivu tena, jomon nawe si unawa kwako
??Nani..?
**** na Zuleykha boss utampata..
Best,vp mbona umeondoka kimya kimya?Itapendeza kwa kweli
Hehehe aisee ugonjwa upi huo alafu ujanijibu swali langu la kwanzaEeeeh ninaumwa wivu,nikionaga watu wanabibisha, ugonjwa wangu huamka
[emoji3] [emoji3]
Swali gani tena?Hehehe aisee ugonjwa upi huo alafu ujanijibu swali langu la kwanza
"Comrade"Swali gani tena?
Hahahah! Namaaninisha 'Comrade Kinana' katibu mkuu wa chama"Comrade"
ulisema hili neno linakukumbusha mtu wako yupi humu
Enhe ni nan huyo