To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Am real feeling goodAm fine how about you madam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am real feeling goodAm fine how about you madam?
Everything is okay LeaderNothing much mkuu. Still hustling. What's up there?
Nipo fresh sanaVincenzo Jr how are you man?
Babu yako nina arosto ya Kiko na hivi sijavuta muda mrefu, kwahiyo nilijiongeza ili nipate hela ya kununua Kiko zangu 😜babuu yani unataka kumchuna mpka mjukuu wako kweliii[emoji23][emoji23] we nipe huyo njiwa nikifanikiwa nakuletea blanketi na mkoti wa babu[emoji847]
Huyo labda alikuwa na Cases zake nyingine ndiyo maana Askari wamemvamia.Niko naangalia live, nyumba za p Diddy zime vamiwa na ma polisi aisee
KumekuchaaaaaaDaku langu usingizi tu 😊
AlikujaNakuja kukuamsha au anakuja .....
🤓Hahahahaha..unataka kuwa nani ?
Hongera sanaBado nimelala
nafurahi kwa hilo tajiriAm real feeling good
Let's keep the spirit high 👊Everything is okay Leader
Babu yako nina arosto ya Kiko na hivi sijavuta muda mrefu, kwahiyo nilijiongeza ili nipate hela ya kununua Kiko zangu [emoji12]
Ina semekana ali mbaka msanii mwenzie, na pia Ile case ya Tupac ina fukuta motoHuyo labda alikuwa na Cases zake nyingine ndiyo maana Askari wamemvamia.
Japo Kibongo Bongo unaweza kushtakiwa Kwa Uhujumi Uchumi iwapo ukakutwa na kiasi Kikubwa cha Fedha ndani kwako
Yeah, kutumia siku 10 tu AiseeSenegal 🇸🇳 nimeona yule kijana wamemtoa magereza kaja kuchukua nchi. Sometimes mabadiliko ni muhimu katika ustawi wa taifa.