JamiiForums Usiku wa manane

amina kubwa babu yangu mzuri[emoji8],, ufanye kweli ili nikuletee kitukuu kabla macho hayajaanz kupata ukungu[emoji847][emoji23]
That's my grandchild 🤗

Bibi yako pamoja na Mimi, tutafurahi jambo hili likienda vizuri

Na usisite kutueleza kama huyo Mkwe ana staki na nataka kuhusu kukuoa, tunaweza kumfanyia jambo akaenda mwenyewe Church kuandikisha harusi yenu bila shuruti 😜
 
babu em kuwa serious basi[emoji23][emoji23] nipande gar nije kijijin au tunaweza kumaliza kweny sim tuu maan huyu mkwe ameanza kuleta mapich picha baad ya kununua gar no E sijui ndo yanaitwaje[emoji1787]
 
Ukiweza njoo kesho mapema tumtengeneze huyo to-be wako

Wazee hatutakubali kuona anakuonja onja bila kukuweka ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…