JamiiForums Usiku wa manane

babu mi sidhan kama nitawez kuvumilia mpka kesho,, bora nije saiv ili kesho inikute huko
Ngoja nikuandalie jamvi kabisa ukifika usipate shida Mjukuu 🤗

Nimemweleza Bibi yako kuhusu hilo, amesema atakuandalia dozi aliyowahi kunipa Mimi Mwaka 47 hadi nikatangaza Ndoa na kumwoa ndani ya Siku 5 😜🙌
 
Ngoja nikuandalie jamvi kabisa ukifika usipate shida Mjukuu [emoji847]

Nimemweleza Bibi yako kuhusu hilo, amesema atakuandalia dozi aliyowahi kunipa Mimi Mwaka 47 hadi nikatangaza Ndoa na kumwoa ndani ya Siku 5 [emoji12][emoji119]

haha sawa babu, mwambie bibi asisahau na maziwa ili nikifika nipooze koo maan nimelia mnoo nusu macho yadondoke[emoji17]
 
haha sawa babu, mwambie bibi asisahau na maziwa ili nikifika nipooze koo maan nimelia mnoo nusu macho yadondoke[emoji17]
Pole Mjukuu

Kuhusu maziwa usihofu Mjukuu, yule ng'ombe uliyepewa kama zawadi baada ya kuhitimu Kidato cha sita amezaa, hivyo yapo maziwa mengi kwaajili yako 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…