Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hiyo ni suala private kidogo, ila ni harakati tu za intelliMchana hua unafanya nn
Nikutumie kofia zile za kushiba kwa majaniπ, huto lichukia jua kabisa.Jua kali mno
Wife hutaki iPhone 15 pro max?my dear mim na huyo shadow tumebreak-up moyo wake upo kwa da kidoti, nilikua naforce tu kuwa kweny moyo wake ila ukweli ni kwamba sipendwi,, saiv nipo singo nainjoi
Babu yako nimeshamtumia hela ya kahawa hana shida huyo
Jamaa ajipange hii case ni ngumu sanaHamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.
Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.
Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.
Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
Wife hutaki iPhone 15 pro max?
Ngoja nimpigietunajuana na babu yangu[emoji23] mim ndo nimemwambia apokee ila asikusikilize[emoji1787]
Yes my lovebeiby[emoji8] ayu sure?
Asante sana...uko poa lakini?Njoo tunywe madafu
Yes my love
Kina 50 cent walisha sema toka zamani, kuwa p Diddy sio mtu mzuri.Jamaa ajipange hii case ni ngumu sana
Sipo fresh nimekunywa bia mchana now vidonda vya tumbo vinanitesa hapaπ₯Ίπ₯ΊππAsante sana...uko poa lakini?
Achana na pombe Kabisa...tumia juiceSipo fresh nimekunywa bia mchana now vidonda vya tumbo vinanitesa hapaπ₯Ίπ₯Ίππ
Asante sana ntaanza kunywa juiceAchana na pombe Kabisa...tumia juice
Mungu akusaidie maana pekeyako huweziAsante sana ntaanza kunywa juice
ππ€£ππ Usiku ni usiku tuMnazingua. Usiku wa manane bado.