JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.

Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.

Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.

Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
Jamaa ajipange hii case ni ngumu sana
 
Jamaa ajipange hii case ni ngumu sana
Kina 50 cent walisha sema toka zamani, kuwa p Diddy sio mtu mzuri.

Angalia alivyo kuwa ana mtreat cassie, Kama Malaya aisee.

Kesi ya Tupac nayo Ika fukuta upya, Ika semekana yeye ndo ali mlipa muuaji.

sema asinge kuwa na hela, ange ozea jela, maana private jet ndo ime msaidia kukimbia.

Picha za CCTV zili onesha mwamba ana wasiwasi kinyama
 
Back
Top Bottom