Hii ngoma 2:42 hapa napiga hesabu za asubuhi nibinjukie wapi nipate cheda1:21
Ndo maana yake, mwendo ni back to back tu!Tutailinda mifugo hadi sikukuu zipite wezi ni wengi sana.Alamsiki
Unakulaje saa 10 mkuuDah 😂🤓, kisa Nini Sasa 😂
Mbona wengine ujatutaja
Barikiwa sana cute...pole mpenz
Nini shida winnone , njoo tufurahi shida ni za mda,..
Life#####
Na kwako pia
Nawe pia kipenzi enjoy life kwenye shida funguka
Usiku mwema shemeji yangu
Dogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?
Naunga mkono hoja
🤣🤣🤣unaendeleaje?yaaan nyie[emoji23][emoji23][emoji23],
Ndiyo maana Kuna wakati sitamani utajiriHamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.
Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.
Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.
Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
Hahaha............mwambie Pasaka hii akupeleke hapo Zanzibar ili akuombe msamaha vizuri.babu itabidi tu ufumbe macho usikubali kupokea chchte[emoji23] lazima mtu ageuke kuku wa eid au pasaka
Safisaiv niko sawa dear, tutakuwa wote leoo[emoji847]