JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hamna Cha kumpoteza, mbona ma black wengine wako poa.

Huyo human trafficking case ime mponza, Ina semekana ana uza watu na viungo pia.

Tetesi za kufanya MAUAJI zime mkost, sema kakimbia aisee, hela ime msaidia.

Maana asinge kuwa na private jet, au pia kumegewa taarifa ya kushikwa
Ndiyo maana Kuna wakati sitamani utajiri

Utajiri unanafasi kubwa kukufanya uwe Muuaji, ufanye biashara haramu na wakati mwingine kukufanya uwe mbali zaidi na Mungu

Watu wengi waliofanikiwa kibiashara Wana dark side zao nyingi ambazo ukiwa mtu wa imani utatamani uendelee kuishi Kwa kipato cha kawaida tu
 
Back
Top Bottom