mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mbona mapema sana?
Mda wa kufuturu huu....
Babemi mzima dear, vip wew
Hilo limeisha babuHahaha............mwambie Pasaka hii akupeleke hapo Zanzibar ili akuombe msamaha vizuri.
Mwambie unatamani ukalale Pale hotel Verde Zanzibar 🤗
Huyu ana sehemu yake peponiwew ndo shemeji sasa, wengine wote tupa kule wakateketee na moto wa jehanam[emoji1787][emoji38]
Nilikuwa mazoezini kidogo wakati napata notification ya salamu yako
Mazoezi ni muhimu. Mie toka niumie goti nimepunguza sana MazoeziNilikuwa mazoezini kidogo wakati napata notification ya salamu yako
Wazee na mazoezi ni kama ardhi na mimea 🤗
Barikiwa Mkuu 🙏
Pole Mkuu Kwa kuumia gotiMazoezi ni muhimu. Mie toka niumie goti nimepunguza sana Mazoezi
Hahahahaha niliumia mazoezi,enzi zangu ilikua ni nivae jezi moja ya timu za Kariakoo 😅Pole Mkuu Kwa kuumia goti
Uliumia ukiwa Kazini ama mazoezini?
Kama ulivyosema mazoezi ni muhimu sana, Mimi napenda kukimbia na kupiga pushup ili niendelee kuwa na Pumzi ili kupunguza ushindani Kwa Bibi yenu.
Maana ukizembea kidogo, Vijana hawachelewi kumkwapua umpendae Kwa kutumia usaidizi wa Vumbi la Zaire 😜🙌
Babe
Niko fresh dada yangu
Huyu ana sehemu yake peponi
Uko poa? Ndo narudi nyumbani nikuchukulie kitimoto?yes huniee[emoji3059]
Waifuu🥺kabisaaa, ila wew na tu yeye mkateketee tu na moto wa gas[emoji16]
Uko poa? Ndo narudi nyumbani nikuchukulie kitimoto?
Jamanii kumbe mambo yalikua mswano samejaaWaifuu🥺