JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mazoezi ni muhimu. Mie toka niumie goti nimepunguza sana Mazoezi
Pole Mkuu Kwa kuumia goti

Uliumia ukiwa Kazini ama mazoezini?

Kama ulivyosema mazoezi ni muhimu sana, Mimi napenda kukimbia na kupiga pushup ili niendelee kuwa na Pumzi ili kupunguza ushindani Kwa Bibi yenu.

Maana ukizembea kidogo, Vijana hawachelewi kumkwapua umpendae Kwa kutumia usaidizi wa Vumbi la Zaire 😜🙌
 
Hahahahaha niliumia mazoezi,enzi zangu ilikua ni nivae jezi moja ya timu za Kariakoo 😅

Sasa hv mazoezi ya kulinda mechi muhimu kama usemazo
 
Back
Top Bottom