To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Pole sana mkuu10:54 PM
Mnazingua jana saa 8 wote mshalala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu10:54 PM
Mnazingua jana saa 8 wote mshalala
Tulikua lindo majukwaa mengine10:54 PM
Mnazingua jana saa 8 wote mshalala
Amina mkuuAmina....Mwenyezi Mungu awatunze mkuu
😁😂10:54 PM
Mnazingua jana saa 8 wote mshalala
Mnafungua lindo saa 12 siku hiziTulikua lindo majukwaa mengine
Jambo jemaNipo good mpendwa
naam Future billionaire Nime fika🤓, a boy from nanjilinjii ndani ndani😂Mkuu ndo kumekucha sasa sio 😂😂😂😂
Hahaha...... kwahiyo unataka kusema tutavuka mto tukiufikia sio 😅Ni kweli mkubwa, maana ukisha fika pale juu, utaanza kuwaza jinsi ya kuendelea kuji kuza.
Bado washindani wa kibiashara, hapa Kuna wema na Wabaya, hapa ndo janga linapo anzia.
Maana unaeza geuka ibilisi mdogo 🤓😂.
bado Kuna wale wazee wa kunusa mapato yako, lazima uwapoze ili ufukie baadhi ya mambo.
All In all, mi nitaona huko huko🤓
Tukifika, ulinzi wa anga na ardhi lazima izingatiwe😂🤓Hahaha...... kwahiyo unataka kusema tutavuka mto tukiufikia sio 😅
Kwasasa tuendelee kizichanga kidogo kidogo 🤗
Hongera sana kufikia stage ya kutaka kucheza mpira wa kulipwa...Hahahahaha niliumia mazoezi,enzi zangu ilikua ni nivae jezi moja ya timu za Kariakoo 😅
Sasa hv mazoezi ya kulinda mechi muhimu kama usemazo
Hawaniwezi By Harmonizenaam Future billionaire Nime fika🤓, a boy from nanjilinjii ndani ndani😂
Hahaha......Tukifika, ulinzi wa anga na ardhi lazima izingatiwe😂🤓
want it all by burna boy, good life by Kehlani ft g eazyHawaniwezi By Harmonize
😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏
Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli😂🤣.Hahaha......
Unanikumbusha miaka fulani nashika shilingi milioni 1 yangu nikiwa na 19 yrs.
Kwa kweli nilipata shida sana kupata usingizi
Tulikuwa tumefuga mbwa nyumbani, Kila mbwa akibweka usiku nilikuwa nahisi majambazi yanataka kunivamia wanipole hela yangu 🙌
Kwasasa kazi ya kutulindia Hela zetu tumewaachia watu wa Benki 🤗