JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha...... kwahiyo unataka kusema tutavuka mto tukiufikia sio ๐Ÿ˜…

Kwasasa tuendelee kizichanga kidogo kidogo ๐Ÿค—
 
Hahahahaha niliumia mazoezi,enzi zangu ilikua ni nivae jezi moja ya timu za Kariakoo ๐Ÿ˜…

Sasa hv mazoezi ya kulinda mechi muhimu kama usemazo
Hongera sana kufikia stage ya kutaka kucheza mpira wa kulipwa...

Binafsi nilicheza mpira kidogo sana as niliambiwa ukifeli ndiyo biashara ya Shule itakuwa imeishia hapo

Kwahiyo nilitumia muda wangu mwingi darasani kuliko michezo

Ili kuimarisha mahusiano/Ndoa, ni lazima uwe mtu wa tizi kidogo
 
11:11 PM Nidja amour bรฉbรฉ ye ye
Nidja amour, bรฉbรฉ na ngai
Nidja'maahh my baby
Fais-moi pleurer oh Nidja
I like you when you talk with me Nidja
I like you when you croak my body baby
Na lingaka tango o simbaka ngai loketo
I like you when you say "fally easy..."
I like you when you say "fally slowly..."
I feel you are the last angel God made
Ohh Nidja aah
 
Tukifika, ulinzi wa anga na ardhi lazima izingatiwe๐Ÿ˜‚๐Ÿค“
Hahaha......

Unanikumbusha miaka fulani nashika shilingi milioni 1 yangu nikiwa na 19 yrs.

Kwa kweli nilipata shida sana kupata usingizi

Tulikuwa tumefuga mbwa nyumbani, Kila mbwa akibweka usiku nilikuwa nahisi majambazi yanataka kunivamia wanipole hela yangu ๐Ÿ™Œ

Kwasasa kazi ya kutulindia Hela zetu tumewaachia watu wa Benki ๐Ÿค—
 
Hahaha, ukawa una jikuta don wa taifa, Huku tafuta bodyguard kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.

Kuhusu mabenki, sisis ndo tuna zidi kuwa tajirisha(hili ni SoMo la siku nyingine).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ