JamiiForums Usiku wa manane

Unadondokewa na watu watatu 😳
Ndio mimi mwenyeji sana ila ile ID ya zamani hatakubali hata mmojawapo kwa nnavyowacrash na sasa natimiza miaka 40 sina mke na watoto wawili twins wana miaka 12
Mama yao aliolewa miaka saba ilopita watoto nnao mimi sasa nahitaji kamke kangu
Nataka nioe mmoja wapo na uhakika hamjaolewa nyie,Mwanamke aliolewa usiku hawi free kama nyie
 
To yeye
 
Mnajishaua nini wewe to yeye haujibu PM ntakusaidia kulea watoto wako ,na we hope Urassa eti hutaki usimbufu na unanambia nije live na I'd ya zamani unataka ugundue nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…