Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
π€£π€£π€£ ndo basi tenaπNilikwambia ongea vizuri na waifuuu akikubali sina neno
Hi Vincenzo JrHello ππ€© To yeye
Uko poa rafiki yangu
Nipo rafiki..vp mambo yanaenda?Uko poa rafiki yangu
Yanaenda freshNipo rafiki..vp mambo yanaenda?
Safi...baadae bas mi nijifunike tenaβΊοΈYanaenda fresh
Poa rafiki yanguSafi...baadae bas mi nijifunike tenaβΊοΈ
Amina ππ½5:41 AM Asubuhi hii, tunashukuru kwa neema ya kuamka na afya njema. Tunakuomba, Ee Mwenyezi Mungu, utuangazie nuru yako leo na utuongoze katika njia zetu. Tufanye kazi pamoja utupe hekima, nguvu na amani katika kila hatua. Amina
π€£π€£π€£Acha ujinga mkuu ,
Amenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume [emoji7][emoji7]
Ni nani huyu?Halafu huyu unamjua kabisa na ukiambiwa hutaamini sameja nimemdharau sana
Eboo! Hutaki hata tufumbe macho kidogo?02:04
Madume yapo yanakoroma tu
Hongera sana mkuuAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume ππ