Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
4:10 AM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 ndo basi tena😒Nilikwambia ongea vizuri na waifuuu akikubali sina neno
Hi Vincenzo JrHello 👋🤩 To yeye
Uko poa rafiki yangu
Nipo rafiki..vp mambo yanaenda?Uko poa rafiki yangu
Yanaenda freshNipo rafiki..vp mambo yanaenda?
Safi...baadae bas mi nijifunike tena☺️Yanaenda fresh
Poa rafiki yanguSafi...baadae bas mi nijifunike tena☺️
Amina 🙏🏽5:41 AM Asubuhi hii, tunashukuru kwa neema ya kuamka na afya njema. Tunakuomba, Ee Mwenyezi Mungu, utuangazie nuru yako leo na utuongoze katika njia zetu. Tufanye kazi pamoja utupe hekima, nguvu na amani katika kila hatua. Amina
🤣🤣🤣Acha ujinga mkuu ,
Amenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume [emoji7][emoji7]
Ni nani huyu?Halafu huyu unamjua kabisa na ukiambiwa hutaamini sameja nimemdharau sana
Eboo! Hutaki hata tufumbe macho kidogo?02:04
Madume yapo yanakoroma tu
Hongera sana mkuuAmenifanyia amani aisee mke wangu kapata mtoto wa kiume 😍😍