Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
People znakanyaga bia wengine nipo nipo tuholiday ulinzi umekua siku nzima
kina urassa wanakunywa bia since childhood wanapewa na bibi. au umepumzika tu hopePeople znakanyaga bia wengine nipo nipo tu
😂😂😂 Ni kweli ilakina urassa wanakunywa bia since childhood wanapewa na bibi. au umepumzika tu hope
Unahemea juu juukwema mummy, nimefanya kosa la kushiba hadi nimehisi dhambi . Elohim pardon
usiseme hivo najikilo skia aibu buana, looh . ila huu mwili hauridhiki kabisa miaka 30+ kilo 54Unahemea juu juu
Kg zinatakiwa ziwe ngapi kwa hapo sasausiseme hivo najikilo skia aibu buana, looh . ila huu mwili hauridhiki kabisa miaka 30+ kilo 54
Wanafanya mape** humo we unafikiri kuna nini10:38 PM
Gesti zimejaa leo sijui kuna nini
Ni pasaka labda watu wamesafiri sana kutembeleanaWanafanya mape** humo we unafikiri kuna nini
Hii ni sababu nyingineNi pasaka labda watu wamesafiri sana kutembeleana
Usiku mwema cute!22::55+ watu mmelala /
Oh na kwako pia dearUsiku mwema cute!