Hahaha kwa hio huu ukoo unauchukia , ila maafande😂Hope jina lako la urasa linanikumbusha tulikua na afande coy yetu anaitwa urassa simsamehi mimi , alinikuta siku nimevaa green vest mbili sababu ya baridi, akaniambia nivue ya ndani bila kutoa ya nje. Shetani yule
Wanacheza mchezo wa kikubwa sio😂
alinionea japo asingeruhusu nivue, ila zile karaha sasa, ndo maana washambaHahaha kwa hio huu ukoo unauchukia , ila maafande😂
kwanini unamwambia mtoto mambo yakikubwa
ukiulizwa ushahidi mi sipo mimi nimesema kolokollo la sameja😂Wanacheza mchezo wa kikubwa sio😂
Hahahaalinionea japo asingeruhusu nivue, ila zile karaha sasa, ndo maana washamba
Asante nakupenda pia mrembo.Maaamaa anafanya nini humu wakati huu
nahisi ni kwa kureport tu unabonyeza report shwaaa unaweka sababu hukumu inafataFake p hvi mtu anapoandika matusi humu/ maneno yasiyofaa mods wanajua je mpaka wanampa ban?
umejipa Connection mdogo mshamba😂😂Asante nakupenda pia mrembo.
Ahaa maana majukwaa ni mengi wachangiaji wengi nilijiuliza sananahisi ni kwa kureport tu unabonyeza report shwaaa unaweka sababu hukumu inafata
Chap ninavyopenda mishangazi😋umejipa Connection mdogo mshamba😂😂
😅umejipa Connection mdogo mshamba😂😂
Laana ya mshangazi haipindiChap ninavyopenda mishangazi😋
ifatE ya kule kule, Ila mishangazi ya hapa imeshika SMG/LMG 24/7😂Chap ninavyopenda mishangazi😋
Umesahau kwamba raha tunapata wote?Laana ya mshangazi haipindi