Uzuri wa huko kwenu hakuna sana foleni kama DSM.Ndo naelekea panda daladala aisee
Pole sana mkuuAlinitukania mama yangu wakuuu wakampa adhabu yake π€£ππππ
Kashaniharibia swaumu huyuπSijui mnajadili nini hapa kila usiku, ila pumbavu zenu wote.
Ndo raha ya kufunga sasa inabidi upate majaribu ili Allah ajue funga yako n dhatiti au legevu πKashaniharibia swaumu huyuπ
Pole mwenyewe πPoyeeπ€
Yaani weweSiyu tuuπ€£
Nimeamka vizuri mamaUmeamkaje mvulana?
AsanteNimeamka vizuri mama
Asante sana kakaPole sana mkuu
Mbona ni mapema sana....Umeamkaje
Kaka π€£πππVincenzo Jr wewe uwe unalala mara moja moja...
ππππππ
Uwe unapata mda unapumzisha fuvu hilo ππππKaka π€£πππ
Leo siingiiii kwenye LINDO kaka nalala leoUwe unapata mda unapumzisha fuvu hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]