Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Uzuri wa huko kwenu hakuna sana foleni kama DSM.Ndo naelekea panda daladala aisee
DSM unalazimika kuamka saa 11 ili uweze kuwahi ofisini 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa huko kwenu hakuna sana foleni kama DSM.Ndo naelekea panda daladala aisee
Pole sana mkuuAlinitukania mama yangu wakuuu wakampa adhabu yake 🤣😂😁😁😁
Kashaniharibia swaumu huyu😂Sijui mnajadili nini hapa kila usiku, ila pumbavu zenu wote.
Ndo raha ya kufunga sasa inabidi upate majaribu ili Allah ajue funga yako n dhatiti au legevu 😂Kashaniharibia swaumu huyu😂
Pole mwenyewe 😅Poyee🤭
Yaani weweSiyu tuu🤣
Nimeamka vizuri mamaUmeamkaje mvulana?
AsanteNimeamka vizuri mama
Asante sana kakaPole sana mkuu
Mbona ni mapema sana....Umeamkaje
Kaka 🤣😂😁😁Vincenzo Jr wewe uwe unalala mara moja moja...
😂😂😂😂😂😂
Uwe unapata mda unapumzisha fuvu hilo 😂😂😂😂Kaka 🤣😂😁😁
Leo siingiiii kwenye LINDO kaka nalala leoUwe unapata mda unapumzisha fuvu hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]