JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nalala leo usingizi wa jana..
Huwezi Fanya Compensation Ya Usingizi Na Njaa.

Kisa Hujalala Siku Tano Ukasema Utalala Usingizi Wa Siku 5 Kufidia Hiyo Itakuwa Imepita Jumla.

Vile Vile Kwa Chakula Kisa Ulikaa Njaa Siku Mbili Au Tatu Uwezi Kula Chakula Cha Siku Hizo Kuondoa Njaa Hiyo.

Kama Ume Lag Behind Basi Inakuwa Maisha Yote.
 
Back
Top Bottom