SahihiIla Wakati Wa Usiku Daktari Wengi Wanazungumza Kama Wagonjwa Deviations Zinakuwa Kubwa Kuliko Mchana.
Mchana Kutwa Inaweza Pita Kimya Ila Usiku Daktari Hupoi.
Asante na wewe pia uwe na siku njemaNiwatakie kazi njema
ASante sanaKaribu Sana Mkuu
Asante sana,UbarikiweAsante na wewe pia uwe na siku njema
Hawajakosea, naskia we ni kitengo na jana ulikuwa umevaa kaunda suti na mawani kwenye shughuli ya kuwasha mwenge.Dah aje ndugu yangua Half american anitete maana kaka mkubwa saiv hayupo
Si kwel mkuu. Nawe umeongeza kupgilia msumari juu ya msumari?Hawajakosea, naskia we ni kitengo na jana ulikuwa umevaa kaunda suti na mawani kwenye shughuli ya kuwasha mwenge.
Hapana babe nilikua sina usingizi kabisa janaYou look lonely babe.
π nazingua mkuuSi kwel mkuu. Nawe umeongezabkupgilia msumari juu ya msumari?
Ahhaha haaaa haaa shukranπ nazingua mkuu
Ukifoleni kombania hakikisha umekunywa maji mengisameja akishaweka ugolo tu ufanisi unakua neg
Sitaki mimi πHapana babe nilikua sina usingizi kabisa jana
Hutaki nn tena,?πππππSitaki mimi π
Ujibebisha na huyo dogo! Hizi ni dharau.Hutaki nn tena,?πππππ
πππππππππππππππππππππππππππUjibebisha na huyo dogo! Hizi ni dharau.