JamiiForums Usiku wa manane

kwa kuturuhus kukomentiana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna vijan humu yaani kila kitu mama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mmoja anasemaga " nabubujikwa na machozi kwa huu upendo wa mama ....""

Alafu ana comment hivo katika uzi ambao ... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

ehe ambao........ em malizia kwanza hap[emoji38][emoji41]
 
Uzi wa hovyo tuu wee subiri..
Kikitokea takua naku tag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

bora uwe unanipigia sim bwana maan nikitagiwa huwa sipat notification[emoji29], kwahiy sitowez kutokea on time,, au unakuja huku unanidikeza naend kuwatafuta hao watoto wa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…