Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mtu poa sana nakubali ila sasa akili 2 ππππππππDaah... Kwa nini? Mbona chizi maarifa mtu poa sana?
Sasa huu ni utani wa ngumi..Poor Brain bado mtoto.
Subiri akue
ππππππππππNaamkia kutoka huku Area C
Weee unawanga nn πππππTunaimarisha lindo mkuu
Yaani pamoja na Uzee huu wa miaka 79 nilionao unaniita bro π ππ€£π€£π€£π€£ morning bro
Usiku mwema
Bila shaka utakuwa Kwa Swahiba ako Rais mteule wa Senegal wewe, maana kwao Kwa muda huu watakuwa bado wamelalaUsiku mwema
π€£π€£π€£π€£π€Yaani pamoja na Uzee huu wa miaka 79 nilionao unaniita bro π π
πππππππππHuu uzi Moderator angeufanyia mpango uwe ni jukwaa kabisa kama yalivyo mengine
π€£π€£hakika hatuboiπππππππππ
Watu mpo moto humu..
Hampoi wala hamboi
πππππ Manatafuta pesa za kutosha sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulale na hatuna pesa
Jana uliaga mapema lindo..π€£π€£hakika hatuboi
π€£π€£π€£ kuna mtu anawajibika na hiliJana uliaga mapema lindo..
Why ..?