Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Acha uoga ushaambiwa unaibiwq sasa mwizi atamuogopaje mwenye mali?Humuogopi Winnone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga ushaambiwa unaibiwq sasa mwizi atamuogopaje mwenye mali?Humuogopi Winnone
Hakuna shida nitakopa🤣🤣🤣Sawa sawa..atakuelewa tu kijana, ila si unajua vijana wanapenda maokoto ya mashangazi 😅😅
🤣🤣🤣ndo nimevikwepa aiseeMbuzi kagoma na jicho huwa viko karibu karibu ..inahitaji roho mtatifu
Hahahahaha..usiogope ni sunnah hizo🤣🤣🤣ndo nimevikwepa aisee
Hapo sawa kama mtaelewana me sina neno🤣🤣🤣akija tunaelewana tu
Hahahahaha...dahWinnone njoo umuone jirani
Nipo tayari kukosa kilakitu aiseHahahahaha..usiogope ni sunnah hizo
Yes,hayo ndo mamboHapo sawa kama mtaelewana me sina neno
Hahahaha..Nipo tayari kukosa kilakitu aise
Poa poa,kazi njemaNaomba niwaache kdg ..
Sawa akikubali tunaanda na kadi za mwalikoYes,hayo ndo mambo
😅😅🤣🤣🤣🤣🤓
Karibu chai😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Napita hapo nikielekea mipango mda huu 9:20
Ukikua nitafute, kwa sasa wewe bado kinda, huwezi kukumbatia mshangaziSasa huu ni utani wa ngumi..
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Manatafuta pesa za kutosha sio
...acha tubanduane tu mkuu.Ni fursa hiyo kwa kilimo cha watu.