Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..kumbe shem wangu jirani..mwepesi hivyo?hapa huwez kutumia hata nguvu diha, ukisema "come with me" anakuja mbio mbio tena kwa usafir wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimefall balaa[emoji30]
daaaaah.... kwa nini lakini? ni mmoja ya watu wazalendo wakubwa sanaMtu poa sana nakubali ila sasa akili 2 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Acha uoga ushaambiwa unaibiwq sasa mwizi atamuogopaje mwenye mali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akija tunaelewana tu
Hahahahaha...jirani sina jinsi ..jiran kwahiy unasapoti sio?[emoji23][emoji23]
Hapo sawa kama mtaelewana me sina neno
Sawa akikubali tunaanda na kadi za mwaliko
Hahahahaha..umejuaje?anasubir uibiwe ili aweke kambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha...yan wew,, hiv unajua kama unaniudhi huwez hata kupinga jamn mbon mmi huwa natetea penzi langu[emoji17],, sijui huy kidoti kakupa nni mpka unampenda hiv damn!
Hahahahaha..kumbe shem wangu jirani..mwepesi hivyo?
Nimeshtuka na mimianasubir uibiwe ili aweke kambi[emoji23][emoji23][emoji23]
Waifuuu dah😂🙌mnoooo tena kwa madam kidoti.. hata kabla hajachanua mapaja wazung hawa apa
Hahahahahamnoooo tena kwa madam kidoti.. hata kabla hajachanua mapaja wazung hawa apa
Mie siko hukoNimeshtuka na mimi
Tatizo bado student yule. Unataka nifungwe 30+yan wew,, hiv unajua kama unaniudhi huwez hata kupinga jamn mbon mmi huwa natetea penzi langu[emoji17],, sijui huy kidoti kakupa nni mpka unampenda hiv damn!
Hahahahaha...jirani sina jinsi ..
Waifuuu dah[emoji23][emoji119]