Amina usisahau kuniombea. Hawa vijana wa hovyo wataombewa baani huko πKesho naenda ibadani asubuhi na mapema...nitapata majibuπ€
Nipo sana, nakua bize saa mbili hadi kumi na mbili baada ya hapo Ndo kama hv nakua freeSabufa mwenyewe ..πππππππ
Niseme tu kwa sasa ni adimu sana mkuu....sijui unapoteleaga wapi
Safi sana mkuu ..Nipo sana, nakua bize saa mbili hadi kumi na mbili baada ya hapo Ndo kama hv nakua free
Mbona ulimi nje tena ππππhaya usiku wa ma8
Unachokotafuta utakipata πππππππππππππ
Na kwa ufupi nishapewa kazi ya kukukanya wewe...ππππ
Kwa style hyo sio mda takukazibisha kwa shangazi yangu πππππππ
Wehu kabisa akiongezeka na mwanae mmoja wakujiita boss wa Fake P A.K.A fyucha bigionea ni hatari lazima mmoja atupwe mahabusu πTID akisha puliza... Akawa na mwanae qchila hapo ikamilike aje chidy πππππ
Mi nalala masaa 5 tu, Hayazidi hayapunguiSafi sana mkuu ..
Una Zingatia kulala masaa 8 lakini..?
πππ
Usijali....ππ½Amina usisahau kuniombea. Hawa vijana wa hovyo wataombewa baani huko π
nitakuja nikuvute hicho kinachokupa jeurisamaleko[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi pitia pito hilo maishaniUkute na ww ulikua ni mtu wa kwaya ety πππππππππ
Sawa subiri ni mention jina lako kwa ant...ππππnitawakabizi wajomba zang, hope hawatashindwana
Yaaani kama pie.....Mi nalala masaa 5 tu, Hayazidi hayapungui
Naunga mkono hoja kakaNi kuvumilia tu mzee
Ni yeye ilisikika hadi zanzibar ππ€£π€£π€£
Hii code ya Leo umekosea πππ³kajifungua then kakuacha? U canβt be serious
Wee umepitia wapi... Au nakufananisha mkuuSijawahi pitia pito hilo maishani
Eee mzeee japo hapa kati mapenzi yalininyoosha nkavuruga ratiba najikuta nimezinduka saa naneYaaani kama pie.....
Safi lakini.. naona upo na timetable straight sana