Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Amina usisahau kuniombea. Hawa vijana wa hovyo wataombewa baani huko ๐Kesho naenda ibadani asubuhi na mapema...nitapata majibu๐ค
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina usisahau kuniombea. Hawa vijana wa hovyo wataombewa baani huko ๐Kesho naenda ibadani asubuhi na mapema...nitapata majibu๐ค
Nipo sana, nakua bize saa mbili hadi kumi na mbili baada ya hapo Ndo kama hv nakua freeSabufa mwenyewe ..๐๐๐๐๐๐๐
Niseme tu kwa sasa ni adimu sana mkuu....sijui unapoteleaga wapi
Safi sana mkuu ..Nipo sana, nakua bize saa mbili hadi kumi na mbili baada ya hapo Ndo kama hv nakua free
Mbona ulimi nje tena ๐๐๐๐haya usiku wa ma8
Unachokotafuta utakipata ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Na kwa ufupi nishapewa kazi ya kukukanya wewe...๐๐๐๐
Kwa style hyo sio mda takukazibisha kwa shangazi yangu ๐๐๐๐๐๐๐
Wehu kabisa akiongezeka na mwanae mmoja wakujiita boss wa Fake P A.K.A fyucha bigionea ni hatari lazima mmoja atupwe mahabusu ๐TID akisha puliza... Akawa na mwanae qchila hapo ikamilike aje chidy ๐๐๐๐๐
Mi nalala masaa 5 tu, Hayazidi hayapunguiSafi sana mkuu ..
Una Zingatia kulala masaa 8 lakini..?
๐๐๐
Usijali....๐๐ฝAmina usisahau kuniombea. Hawa vijana wa hovyo wataombewa baani huko ๐
nitakuja nikuvute hicho kinachokupa jeurisamaleko[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi pitia pito hilo maishaniUkute na ww ulikua ni mtu wa kwaya ety ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Sawa subiri ni mention jina lako kwa ant...๐๐๐๐![]()
![]()
![]()
![]()
nitawakabizi wajomba zang, hope hawatashindwana![]()
Yaaani kama pie.....Mi nalala masaa 5 tu, Hayazidi hayapungui
Naunga mkono hoja kakaNi kuvumilia tu mzee
Ni yeye ilisikika hadi zanzibar ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii code ya Leo umekosea ๐๐๐ณkajifungua then kakuacha? U canโt be serious
Wee umepitia wapi... Au nakufananisha mkuuSijawahi pitia pito hilo maishani
Eee mzeee japo hapa kati mapenzi yalininyoosha nkavuruga ratiba najikuta nimezinduka saa naneYaaani kama pie.....
Safi lakini.. naona upo na timetable straight sana