Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nililambishwa asali na chumvi kwa pamoja wito ukazidiwa na tangu apo nikaanza kuwa ukame πDuuuuh... Ikaishia wapi mkuu... ππππππ€
Nimesema nipo single cute,kuna ugumu hapo kwani?
Yaaani ww wa kukaa na ant kuniteta kweli πππππππππππππππππnmemshauri ila anakaza fuvu[emoji4] et oooh mishangazi inajotroo[emoji1787][emoji1787] na mmi nmeamua kumuacha sijui unamlishaga nni huyu
πππππππππUsinigombanishe na tajiri wa ilazo Fake P sijasema yeye ni wa hovyo, tafaadhali( in manara's voice)
Alafu vitoto vya seminari vinakuaga hvyo sana...Nililambishwa asali na chumvi kwa pamoja wito ukazidiwa na tangu apo nikaanza kuwa ukame π
π dah mwanae sana wakujiita fyucha bigionea akisikia hili atalia sana.Mabinti buku mbili wana heka heka sana Top In Dar Kawa mubabu
Muache tajiri wa ilazo, hana bayaπππππππππ
Chawa sasa
We tajiri naomba nisiandike koment ndefu nisikuchoshe tajiri.Weee kumbe mi ni tajiri na hamniambii why why ma friend albiiin
daah mpaka saivi sina usingizi πMbona ulimi nje tena ππππ
Ukuje na umevaa yale mabuti yako ya tanesco mr poorπππππ Uwakika hapo....
Itabidi nije bana mana kesho nashuka huko....
Ila vijana hovyo sana ndani humu
Sema Kuna maneno ukitamkiwa yanaumiza kimya kimya π€£π€£mubabu mzee ni kamzozo kwelπ dah mwanae sana wakujiita fyucha bigionea akisikia hili atalia sana.
Tid alivyomjibu yule dogo eti katoto kenyewe kabayaaa kabovuuuVp mubabu mbn unacheka
Sijawahi kusoma seminari ila nilijaa kwenye mfumo mazima.Alafu vitoto vya seminari vinakuaga hvyo sana...
πππππππππππππ
πππππππ Daaah weee jamaa ndo ukanisema mimi nilipokua namsifia Future billlioner kumbe na ww wale wale ππππMuache tajiri wa ilazo, hana baya
Sema Kuna maneno ukitamkiwa yanaumiza kimya kimya π€£π€£mubabu mzee ni kamzozo kwel
Kama ni ukweli acha aambiwe tuSema Kuna maneno ukitamkiwa yanaumiza kimya kimya π€£π€£mubabu mzee ni kamzozo kwel
Kwanini mkuu πππdaah mpaka saivi sina usingizi π
Muache tajiri wa ilazo, hana baya
Mimi ni mnaafk ila albin wewe ni hogopaaaWe tajiri naomba nisiandike koment ndefu nisikuchoshe tajiri.
nitakuja nikuvute hicho kinachokupa jeuri