Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,143
Hapana naona anakupa na ushauri wa kuja kuniambia mm kweli...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una msapoti wizo wizo
lazima nimsapoti[emoji23] hiv unahisi nikiwa against yeye alf aanze kuniporomoshea maneno na ule mdomo wake mchafu nitaficha wapi sura yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, siwez kumsaliti huyo ant yako