Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sasa unamsifiaje meni meni ?πππππππ Daaah weee jamaa ndo ukanisema mimi nilipokua namsifia Future billlioner kumbe na ww wale wale ππππ
Sema kwel Ile manzi hata kwa macho sio tamu sijui ni jicho langu lkn mansi ni mbofu mbofu sanaTid alivyomjibu yule dogo eti katoto kenyewe kabayaaa kabovuuu
Sasa kesho jpili ni ngumU sana kuwa nayo...,ππππππππUkuje na umevaa yale mabuti yako ya tanesco mr poor
Naunga mkono hoja π€£πSema kwel Ile manzi hata kwa macho sio tamu sijui ni jicho langu lkn mansi ni mbofu mbofu sana
Aaaaah sasa nilikua sijui bana...Sasa unamsifiaje meni meni ?
Hujui sifa na mapambio ni kwa ajili ya akina Fake P ?
Tajiri niite majina yote tu ila heshima yako tajiri, kwanza pole na hela!!Mimi ni mnaafk ila albin wewe ni hogopaaa
TID hafananii na uzeeeKama ni ukweli acha aambiwe tu
Winnone
Alafu ant angu kumbe wanamuitaga wizoo bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani mwingine unaemjua anaeweza kumfikia Fake P ?Aaaaah sasa nilikua sijui bana...
Sawa sawa kumbe ilazo kuna tajiri mmoja tu
Nimekuta lamomy anamuita anteiel wizo bana.. alafu yee kajikausha kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anamajin mengi huyoo
Aiseeee hatareee kumbeNani mwingine unaemjua anaeweza kumfikia Fake P ?
Huwa ananiacha hoi anavyoongeaga kingeli na kusheki sheki πTID hafananii na uzeee
Yaaani ww wa kukaa na ant kuniteta kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijapenda hata kidgo [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Acha bhana huyu ndio mwenye shamba za zabibu dom yote.Aiseeee hatareee kumbe
Watoto wadogooooHuwa ananiacha hoi anavyoongeaga kingeli na kusheki sheki π
Hapana naona anakupa na ushauri wa kuja kuniambia mm kweli...tumezungumza lugha moya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata hatujakuteta
Sasa kesho mi nashuka kule ilazo ππππAcha bhana huyu ndio mwenye shamba za zabibu dom yote.
Nimekuta lamomy anamuita anteiel wizo bana.. alafu yee kajikausha kimya