JamiiForums Usiku wa manane

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ni hatariii hum ndani nammudu mtu mmoja tuuu huy fake wat wat[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyo fake wat wat ndo wanamuita tajiri humu....

Jaman vijana humu ndani hovyo sana ujue eeeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
umefka mpka kwa mke ya kantri[emoji23][emoji23] naomb usimuite huyo ni dada angu akiyajua madhambi yangu ya huku nimekwishaaa,, nitafukuzwa nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🀣🀣🀣🀣 Kumbe unajiachia huku?? Kuwa makini sio waoaji hao… nyumbani nitakufukuza kweli sipendi utoke na vibaka
 
Mukubwa huyo ni tajiri anamiliki mabasi 7 ya mkoani dar to Arusha mengine dar to Tanga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Weeeeeh hilo ndo najua sasa aiseeeee..
Kumbe tupo na watu hatari humu..

Ngoja kesho nikaonane nae.
Fake P kesho itabidi nije tuu hata kama ni siku ya mapumziko ila tavaa yale mabuti tajiri πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lamomy soma hapo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Winnone bora ukwishe tuu wee sio wa kuniteta na antiel alaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…