JamiiForums Usiku wa manane

yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoj nimalizane na dada kwanza alf nitakurudia... hiv unawezaje kunichonganisha na anae nipa ugali[emoji35],,, muone kwanz[emoji1787][emoji1787]
So wewe kuni chongea kwa wizo uliona poa...
Upanga kwa upanga. Malizana na dada mi ntamalizana na ant
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako [emoji23][emoji23][emoji23]

dada sirudii tena mmi nimekoma walahi[emoji29][emoji29],, sikujua kama unafahamiana na uyu mpenda mishangazi.... anataka atugombanishe tu wakati mi bado "Ntonto"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasemaje nikimuita hapa atawakera yule ananisikiliza mimi tyuuu!! 🀣🀣🀣🀣

BICHWA KOMWE - wizo njoo uwape hi kuna watu wanakuulizia huku
 
Nasemaje nikimuita hapa atawakera yule ananisikiliza mimi tyuuu!! 🀣🀣🀣🀣

BICHWA KOMWE - wizo njoo uwape hi kuna watu wanakuulizia huku
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weee bana weee tunakutania tuu..
Ndo nini sasa umemuita kweli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi simo kabisa khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…