JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoj nimalizane na dada kwanza alf nitakurudia... hiv unawezaje kunichonganisha na anae nipa ugali[emoji35],,, muone kwanz[emoji1787][emoji1787]
So wewe kuni chongea kwa wizo uliona poa...
Upanga kwa upanga. Malizana na dada mi ntamalizana na ant
😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeona win anajiachia kweli!! Halafu nimeona mnamsema pacha wangu mabakuli na crew yako [emoji23][emoji23][emoji23]

dada sirudii tena mmi nimekoma walahi[emoji29][emoji29],, sikujua kama unafahamiana na uyu mpenda mishangazi.... anataka atugombanishe tu wakati mi bado "Ntonto"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Coca naona zinaiva na wizo..
Na zinaiva kwa vile tuu anaona yule mtu ili uwe nae sawa wee obey tu ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alikuja hapa mara moja akachagua hali ya hewa akaondoka ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanasema wizo ana mdomo mchafu sio wa kumwendea kichwa kichwa 😂😂😂
Nasemaje nikimuita hapa atawakera yule ananisikiliza mimi tyuuu!! 🤣🤣🤣🤣

BICHWA KOMWE - wizo njoo uwape hi kuna watu wanakuulizia huku
 
Alafu mnasema nadanganya Poor Brain . We Fake P njoo hapa ujue ulivyo na mifweza.
albin huna baya kampeni zako zimeenda shule watu washone suti uchaguzi tunashinda mapema sana
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Nasemaje nikimuita hapa atawakera yule ananisikiliza mimi tyuuu!! 🤣🤣🤣🤣

BICHWA KOMWE - wizo njoo uwape hi kuna watu wanakuulizia huku
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Weee bana weee tunakutania tuu..
Ndo nini sasa umemuita kweli. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mi simo kabisa khaaa
 
Back
Top Bottom