JamiiForums Usiku wa manane

Mmmmh hapo nazungumzia ya mafuta...
Kwani yakutembelea anayo mengi pia πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mpaka mbwa wanayo ya kutembelea, anayo mengi sana. Fake P harudiagi gari, haijawai kutokea akarudia kutumia gari moja, akishatumia mara moja anatupa funguo.
 
siwez kuyaoga dada atanitetea[emoji1787][emoji1787]....... lazima awe kigeu geu tulifunzwa kuto kusalitiana sisi ni nduguu[emoji854][emoji854]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Time will tell us

Lamomy please hapo kwa wizo naomba na mimi unitetee...
Yaaniiii kuongea siwezi kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
leo umenionyesha unyaki live live.. hujawahi kupunguka kwangu mumy hizi I'd tu usifanye hivyo bhana utanipa unyonge we chepuko la sameja
 
Mpaka mbwa wanayo ya kutembelea, anayo mengi sana. Fake P harudiagi gari, haijawai kutokea akarudia kutumia gari moja, akishatumia mara moja anatupa funguo.
Half american wee sio chawa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa kucheka huku ntaonekana chizi
 
Tajiri tajiri tajiri
Nimekuita mara tatu aiseeeee

Tajiri anao mpaka masameja na wakili bila shaka unae

Leo Fake nimekutana na original mamaeeee pwagu na pwaguzi mmeupiga mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Time will tell us

Lamomy please hapo kwa wizo naomba na mimi unitetee...
Yaaniiii kuongea siwezi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hakuna kutetewa lazima uchangamshwe saw kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi tunao akina sisi tunaorudia nguoπŸ˜‚ Fake P yeye gari harudii, Ee mola tujalie wana wako tuwe na angalau robo ya maisha kama ya Fake P

Sema AMEEN!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…