JamiiForums Usiku wa manane

Ndo uwepo sasa alaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada ako mwenyewe kasepa shwaaaah
Sijui nani now atakupa ushauri wa kukwepa watt wa town ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

bora nikajilalie ili nisije nikaingia mkenge[emoji23][emoji23][emoji23] nitaficha wapi sura yangu mmi...... saiv nitakua siongei chochot na watoto wa mjini bila wakil na dada angu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
bora nikajilalie ili nisije nikaingia mkenge[emoji23][emoji23][emoji23] nitaficha wapi sura yangu mmi...... saiv nitakua siongei chochot na watoto wa mjini bila wakil na dada angu[emoji38][emoji38][emoji38]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilikua nakuona tuu na kidomo chako....
Ropoka sasa wakufinye mdomo huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua nakuona tuu na kidomo chako....
Ropoka sasa wakufinye mdomo huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji30][emoji30][emoji30]mi nina kidomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... nimepoa mwenyewe[emoji18][emoji18] nithameee basii na wew kwan hautaniwi
 
Weeeeeh tokaaa hukoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kazidi kuonewa jamni daaah
Sas hapo unalala vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

si analala hapo juu ya nyama nyama[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Boss ni wewe achana na huyo wa mahabusu

Niwaambie kama semaji la Intel Business Col Kampuni yetu bado ipo imara pamoja na changamoto za mwenyekiti wetu, ila tuwatoe hofu shareholder wetu na huu mromo mromo wa adui zetu ghafi
 
[emoji30][emoji30][emoji30]mi nina kidomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... nimepoa mwenyewe[emoji18][emoji18] nithameee basii na wew kwan hautaniwi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Leo umeyavaa sema sina budi kukusamehe..
Akija dada ako usijifanye kunyanyua kidomo kunisema mm...
Ntakuja kukufinya wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€πŸ€
 
Niwaambie kama semaji la Intel Business Col Kampuni yetu bado ipo imara pamoja na changamoto za mwenekiti wetu, ila tuwatoe hofu shareholder wetu na huu mromo mromo wa adui zetu ghafi
Nimecheka kwa sauti jamni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

sawa nimekuelewa ila na wew ukome kunichonganisha[emoji38][emoji38] kwanza kwanni ulimuita
 
Ishi na watu vizuri tukuambie matajiri ni wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…