Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
ahsante nesi wa zamu, atajibu aliyeulizwaSwali hilo hapo hebu mkuu ajibiwe na yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante nesi wa zamu, atajibu aliyeulizwaSwali hilo hapo hebu mkuu ajibiwe na yeye
Hahahahaha...ok ..vzr MkuuUnakosa vingi mkuuu mtoto from chuga huyooo ana zigo hilooo
kama ulichukua hela ya watu rudisha mapema we adui yetuUnakosa vingi mkuuu mtoto from chuga huyooo ana zigo hilooo
Aliyepelekwa kule ni nani Le hii unamkataaa bosi wa mwanza 😁😂😂😁😁😁😁Yule ni halali kupelekwa kule ana mdomo mchafu sana yule bro....afu tabia ya kufanya mambo yenu sirini afu kuja kupigana majungu jf ni kama wanaendana na Vincenzo Jr ....hii tabia inashusha hadhi kidogo.
Yule tulishakwazana na nikaamua mimi kujishusha kwakeAliyepelekwa kule ni nani Le hii unamkataaa bosi wa mwanza 😁😂😂😁😁😁😁
YeahKisa wamedulishana
😂😁😁 Personal interestMpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
😅😂Mpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
Hapana cute ni mtu tu anakuwa kukosa heshimajichanganye wakupitie, tuliisha zika I' d zetu za 2012-16![]()
![]()
Mie mwenyewe sina noma nae yule mwana ila alizingua mno sana kunitukana mama yangu 😭😭😭Yule tulishakwazana na nikaamua mimi kujishusha kwake
nina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapaMpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
Mimi sio tapeli comrade wangu😂😁kama ulichukua hela ya watu rudisha mapema we adui yetu![]()
Naunga mkono hojaHapana cute ni mtu tu anakuwa kukosa heshima
Usimtishie ex wangu 😂jichanganye wakupitie, tuliisha zika I' d zetu za 2012-16![]()
![]()
Alivumilia alishindwa...uliandika majungu mno humu....andika yako inawafanya wengine wajue wanaishije nawe...Mie mwenyewe sina noma nae yule mwana ila alizingua mno sana kunitukana mama yangu 😭😭😭
KUMBUKAahsante nesi wa zamu, atajibu aliyeulizwa![]()
![]()
Mimi mtu poa sana wewe mwenyewe unajua my wangu 😘Alivumilia alishindwa...uliandika majungu mno humu....andika yako inawafanya wengine wajue wanaishije nawe...