JamiiForums Usiku wa manane

Yule ni halali kupelekwa kule ana mdomo mchafu sana yule bro....afu tabia ya kufanya mambo yenu sirini afu kuja kupigana majungu jf ni kama wanaendana na Vincenzo Jr ....hii tabia inashusha hadhi kidogo.
Aliyepelekwa kule ni nani Le hii unamkataaa bosi wa mwanza πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ Personal interest
 
πŸ˜…πŸ˜‚
 
nina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…