JamiiForums Usiku wa manane

Diyo diyo umeshamjulia hali tajiri?

Shikamoo tajiri Fake P
Hpa nilisahau
Fake P
Tajiri
Tajiri afrika na mashariki ya kati umeamkaje
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™

Huu unafiki wa kiwango cha lami nafundishwa na hii kuku Half american πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakufundisha nidhamu ya kuwajulia hali watu unasema unabe?
 
Baba alianza kusema ongeza sauti ya redio ...ilikua usiku wa tarehe 7 mwezi April mwaka 1994 ..tukiwa tumekaa nyumbani tukitazama TvZ movie ya kihindi..ndipo redio inakatangaza juu ya ajali ya ndege iliyowabeba maraisi wawili wa Burundi na Rwanda....
Nikiamka nitaendelea
 
Kwenu mlikua na hela! Mlimiliki hadi tv
Hiyo story nimegundua inakuhusu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…