dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Nawe pia kamanda!!!!!!Wasogozi usiku wa manane, nawatakieni heri msimu huu wa sikukuu na mapumziko.
decomm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe pia kamanda!!!!!!Wasogozi usiku wa manane, nawatakieni heri msimu huu wa sikukuu na mapumziko.
decomm
Mapambano kama kawa kamandaInaitwa weekend ndefuuu ila kama mimi sina weekend kabisaa
Yangu macho. Lete maneno madamTena ukicheza 6:30am
Mpaka dakika ya mwisho, watoto wa mijin wanasema ukilala unalaliwaMapambano kama kawa kamanda
Yangu macho. Lete maneno madam
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni hatari kiongoziMpaka dakika ya mwisho, watoto wa mijin wanasema ukilala unalaliwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] zangu zimeisha kichwaniMhudumu aongeze tu chupa hapa
Viatu vimekaza sijasema vile vitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] zangu zimeisha kichwani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sio vyumaViatu vimekaza sijasema vile vitu
Nipoooo[emoji2] [emoji2]Inna uwe unaaga sio vizuri kuondoka kimya kimya
Ilete tukusaidieNipeni support nisije haribu kazi ya watu
Ulikuwa unayajenga niniNipoooo[emoji2] [emoji2]
Nilikua nazurura majukwaa mengineUlikuwa unayajenga nini
Okey vizuriNilikua nazurura majukwaa mengine
Walibakiwa na nguvu ya soda tuDingi na madam wametokewa kimya kimya
Njoo unisaidieIlete tukusaidie