JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ukipita dom nicheki utapata viwili tu ukanikumbuke, noo! au kimoja tu i mean vitabu😃😃😃😃
Tuzidi kuomba naeza pita huko, Mwaka Jana ndo nime zunguka kama panya wa mtaani 😁.

Vipi kile kiwanja chenu Cha 🐦 mme fyeka zile nyasi🤣, ??.

Halafu mbona ume jiwahi, iki wezekana tuta ona 🤣
 
Back
Top Bottom