Na fimbo kabisa aisehHuyu inabidi tumkalishe kikao cha dharura
😅Na fimbo kabisa aiseh
Mara nyingi tunakutana ukubwani....haya ya kuanzia udogoni nadhani ni movie za kikorea ndo huwa naona 🤓Ulikutana nae ukubwani?
😳😳😳
Thubutu 😂😂😂😂😂😂Mara nyingi tunakutana ukubwani....haya ya kuanzia udogoni nadhani ni movie za kikorea ndo huwa naona 🤓
Poapoa mom....am doing good sema nimeanza kuwa addicted na kula udongo...nahofia minyoo tu kunipata yaan☹️Thubutu 😂😂😂😂😂😂
Unaendeleaje lakin mamie?
Pole, itabid utafute kitu ambacho ni salama, ukihisi hamu ya kula madongo unakula hicho badala ya madongo.Poapoa mom....am doing good sema nimeanza kuwa addicted na kula udongo...nahofia minyoo tu kunipata yaan☹️
Nilikusoma haraka . kigamboni hapo ndo kulalama baridi? Vin1:27 AM 😎
Asante sana cute....najitahidi sana kukimbilia kunywa maji....na inafanya kazi kiasi fulaniPole, itabid utafute kitu ambacho ni salama, ukihisi hamu ya kula madongo unakula hicho badala ya madongo.
Vzuri sana unaweza pia tafuna nazi, bisi, na vitu vingine vingineAsante sana cute....najitahidi sana kukimbilia kunywa maji....na inafanya kazi kiasi fulani
Una tamani unge kuwa na uwezo wa ku skip mda😀1:21 AM
Imagine mtu anaona uvivu kulala
nina uraibu wa jfUna tamani unge kuwa na uwezo wa ku skip mda😀
Achana na hizo bisi zenu ngum ngum, Kuna bisi hizo weiweeeh.ndo nini?
huku arusha ni screwdriver