Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Kama sio daku, empty tumbo liheshimiwe ππππVyakula vya usiku wa manane hivi ππ
View attachment 2958325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio daku, empty tumbo liheshimiwe ππππVyakula vya usiku wa manane hivi ππ
View attachment 2958325
Kitu gani tena, masuala ya surprise Siya pendelei.no excitement, baadae nitakuonyesha kitu ππππ
Jamani ni kwangu tu, au nanyi hili dude Mna liona??
View attachment 2958328
Sio kila mtu, au robot mimi sina hilo dudekila mtu
nahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aiseeSio kila mtu, au robot mimi sina hilo dude
umewaza mbali sana, ni kuhusu tu kutoa overview mtu awe excited kusoma unachomwambiaKitu gani tena, masuala ya surprise Siya pendelei.
Maana nili wahi letewa mgeni Nisije mpenda π
Mimi nimesilimu kwa ajili ya mke wangukumbe kuna congoman waislamu
App whichwhennahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aisee
Tumia tapa talk kakanahisi huku update app, acha nitafute ya zamani aisee
samahani! mke akifariki(Mungu aepushie mbali), utarudi kwa Yesu?Mimi nimesilimu kwa ajili ya mke wangu
Naunga mkono hoja ila kula muhimu ujue π€£πKama sio daku, empty tumbo liheshimiwe ππππ
Tapa talk ndo ya aje??Tumia tapa talk kaka
Hapana nitakuwa nimefanya usaliti wa nafsi yangusamahani! mke akifariki(Mungu aepushie mbali), utarudi kwa Yesu?
Tapatalk ni App inayokuwezesha ku access Forums mbalimbali duniani kwa wakati mmoja,Tapa talk ndo ya aje??
Basi uta subiri Sana π€£, Kuna Jamaa Lilikuwa Lina nifundisha baadhi ya vitu.umewaza mbali sana, ni kuhusu tu kutoa overview mtu awe excited kusoma unachomwambia
oohh, sawa.Tapatalk ni App inayokuwezesha ku access Forums mbalimbali duniani kwa wakati mmoja,
Back in gusa gusa days π, una Minya Minya nyanya, Kisha una nunua bilinganya π€£πApp whichwhen
umesema umeslim sababu ya mke? sio kwamba umeunga mkono imani, sasa nafsi tena itakuaje umesaliti? anyway sio kwa umuhimuππππHapana nitakuwa nimefanya usaliti wa nafsi yangu
Basi ni la kiwaki sanakila mtu