JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Knowledge, exposure na Pesa ni vitu muhimu Sana.
Kama we ni jobless mwenzangu, pambana upate hata 1

Mana hivyo ni driving force Kwa Sasa.
na hata mmukiwa na 1, Jitahidi upate wenye vile usivyo navyo wewe ili uzidi kusonga mbele.
 
Niite kamanda wa lindo, toka niingie lindoni magodoro huwa tuna yachoma moto kabisa.

Maana uki loweka maji, Kuna vijana walio shindikana Kama kina Mad Max na Uchira 1 wata sinzia tu.

Kutana na Shadow7 Huyu mzee alikuwa kamanda Safi, ila toka ampate To yeye ame Baki kulala Kama mbuzi wa kafara tu.

Kuna hiki kimanta financial services mdada Mali Safi kabisa, ila shida ana koroma Kama chura 😂.

Kuna haka ka shangazi uchwara Fake P, kana jikuta kagumu, kumbe pisi kali laini🤣.

Kuna wezi wenzangu kina miyeyusho stow away, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chabo Poor Brain,

Kuna Hawa absentees wa kimataifa kina fyddell, MastaKiraka,

Bila kumsahau nusu albinoo Half american, and everyone else.

I mean no Malice to nobody
Mtuvumilie kidogo tupo kwenye mchakato wa kuijaza dunia
Cc To yeye
 
Back
Top Bottom