Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Waambie watu tengenezee part 2 Sasa 😆🤓Nimeicheki Kaka😃
Kali mnooHapana , Mimi sifuatiliagi cartoon vp Kali ?
Madam peak ya mwenzio, isi kufanye ujione uko level moja akati we ndo kwanza uko chapter 1.What do you mean?
Mwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣We endelea kuyakanyaga
Keep dreaming fella, ila try maybe unaeza onekana ume jaribu.Mwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣
Tutampoteza kabisa kama yule adui wa walimuMwambie saivi itakuwa ni 12 na tutahakikisha inatimia🤣🤣
Dah yule mwenye jina la kijijiìiiii???Tutampoteza kabisa kama yule adui wa walimu
Changamsha genge mkuu. Its not serious.ubaya hatuna sisi na kama ungekuwepo tungesemezanaKeep dreaming fella, ila try maybe unaeza onekana ume jaribu.
Beside hiki nini tena 🤔, au una changamsha genge tu ??
Ndio jina la kijiji kule makao makuu anapoishi tajiri Fake PDah yule mwenye jina la kijijiìiiii???
Duh sikuwa nafahamu. Ila huyu tumwonee huruma maana ndugu yetu sana huyu
Basi nili shtuka kidogo, kuona tuna tangazwa amani huku tume ficha mapanga😁Changamsha genge mkuu. Its not serious.ubaya hatuna sisi na kama ungekuwepo tungesemezana
Wewe nusu albin tulia🤓
🤣hatujafika huko mkuu. Binafsi sipendi kuona furaha ya mtu naiondoa kwa namna yoyote ile zaid ya kuileta.Basi nili shtuka kidogo, kuona tuna tangazwa amani huku tume ficha mapanga😁
Au tuanze na wewee. Ka mkubwa naona kafanya mwamala kwangu ili yaishe sasa mm sitaki tena kwendelea na hii mada🤣
Nitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂Wewe nusu albin tulia🤓
Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambiaAu tuanze na wewee. Ka mkubwa naona kafanya mwamala kwangu ili yaishe sasa mm sitaki tena kwendelea na hii mada🤣
TUlia ngoja nikupunguzie mwamala ili umwache. Au malizia vile vi🐇🐇 nlivyokuleteaNitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂
Unaenda wapi kubwa la manusu😂😁Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambia
Kwa heri/amani?Mimi soon napotea humu, msijesema sikuwaambia
Shemeji yako hayupo, ange kuwepo unge pasuka kubwa la manusu 😂😁Nitakupoteza na nakwambia wazi wazi sikusnichi 😂