Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi mnoo, wa kwanza Mimi mwenyewe, pili ni mama angu, 3 ana jijua 🤓Kama nawe yupo huko kwenu mwenye uvumilivu wa mapungufu yako....huna budi kushukuru
Si umtaje tu...sio siku uje uanze kulialia jukwaani hapaWapo wengi mnoo, wa kwanza Mimi mwenyewe, pili ni mama angu, 3 anajijua 🤓
Mwanangu na ndugu zangu wa tumbo moja na huenda wifi zangu.Kama nawe yupo huko kwenu mwenye uvumilivu wa mapungufu yako....huna budi kushukuru
mdogo angu wa mwisho, huyu tuta gombana ila ata flash sekunde tu😊Si umtaje tu...sio siku uje uanze kulialia jukwaani hapa
Kumbe wewe mkorofi eeeee.mdogo angu wa mwisho, huyu tuta gombana ila ata flash sekunde tu😊
Amna ni vile tuna elewana Sana, so huwa tuna changamsha nyumba Niki enda home tu.Kumbe wewe mkorofi eeeee.
Ila last born ni wa kuwavumia aisee.
Waoooo....Amna ni vile tuna elewana Sana, so huwa tuna changamsha nyumba Niki enda home tu.
Familia yetu tuna penda kuangalia mieleka, basi tuki kutana ni vituko tu😀
Amina....Mimi ni mama yangu...mdogo wangu....wanangu ....rafiki yangu....staff members wangu....majirani zangu😍 ..,,Mwenyezi Mungu awabariki sanaMwanangu na ndugu zangu wa tumbo moja na huenda wifi zangu.
Huenda na wazazi wangu wangekuwa hai hii leo nao ningewajumuisha...ila naamini walinivumilia kwa kipindi hiko, tena walinivumilia sana, kiasi sitaki kukumbuka chochote binti mimi.
Hakika anajijua 🥴Wapo wengi mnoo, wa kwanza Mimi mwenyewe, pili ni mama angu, 3 ana jijua 🤓
Tulipo kuwa hatuna hela ilikuwa unyama, uki shika vichenji vita Ina amka 😀😁Waoooo....
Ni vema kama mnaelewana.
"Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa...."
🙏Amina....Mimi ni mama yangu...mdogo wangu....wanangu ....rafiki yangu....staff members wangu....majirani zangu😍 ..,,Mwenyezi Mungu awabariki sana
Imagine mtu ana kupenda ulivyo, with or without nothing.Hakika anajijua 🥴
🤓🤓🤓Tulipo kuwa hatuna hela ilikuwa unyama, uki shika vichenji vita Ina amka 😀😁
dah nime miss zile zama mama ana toka site jumapili, tuna pitia sokoni kununua samaki wakubwa, bamia na nyanya chungu😀.🤓🤓🤓
Hatari shekhe!!!
Pesa ni sabuni ya roho ujue
Ila wewe.dah nime miss zile zama mama ana toka site jumapili, tuna pitia sokoni kununua samaki wakubwa, bamia na nyanya chungu😀.
Hizi mambo za nyama sometimes Zina poteza memory nzuri.
Shangazi nawe kwa kuwa tamani watu😁😀Ila wewe.
Haya bhana.
Ngoja niende zangu A City kwa kaka Paul.
Ila kaka nimejikuta nampenda tu kipindi hiki ...sijui kwanini.
Napenda sana siasa zake na body lakeShangazi nawe kwa kuwa tamani watu😁😀
Hee 😀, niache shangazi sitaki 🙄Napenda sana siasa zake na body lake
Sahv kajaa flani hv, kifua😋....yaani vile vitu ambavyo sisi wanawake tunapenda😋
Mimi mwanaume mwenye mwili wa ukuni wala hanishawishi😏
We body yako ipoje🤧?
🤣🤣🤣🤣 hajui kama unamilikiwaHee 😀, niache shangazi sitaki 🙄