Ndo maana kakorofi sanamimi mkurya tata mtu wa nchini๐๐๐
I know that aam not here to live your expectations, neither you're here to live up mine ๐๐คCuriosity will kill u, expect nothing buddy
Wewe niulize unapo nionaga ๐ค, una taka niunga niishiwe dots au๐คฃNipe location
Karibu
samaje ile kozi mlikaza haya ndo matokeo yake ๐คฃ๐คฃNdo maana kakorofi sana
๐ฅดKaribu
Tufurahie maisha[emoji3061]
Sikukuu njemaTufurahie maisha
Kwako piaSikukuu njema
AmiinKwako pia
Nialike mimi apo ilazo sio mbaliSijui ni kitu gani kila nikialika rafikizo hawaniamini kabisa nimeamua kuwa najialika mwenyewe
Leo wanatumia smellproof kuzuia harufu isitoke nje na ikitoka inanukia ugali dona.kanzu nimesha azima ๐, navizia nizunguke harufu ya pilau unapo tokea๐ค
Taqabbal Allahu minna.๐๐ข๐ ๐๐ฎ๐๐๐ซ๐๐ค
okee popote unapotokea shuka daraja dogo nyoosha barabara hadi mwisho inapoungana, niwe nakuchungulia kama unafaa kukaribishwa kwanzaNialike mimi apo ilazo sio mbali
Sasa huo mualiko au mpoteano?okee popote unapotokea shuka daraja dogo nyoosha barabara hadi mwisho inapoungana, niwe nakuchungulia kama unafaa kukaribishwa kwanza