Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
watanilipua na mimi weeWewe jilipue tu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanilipua na mimi weeWewe jilipue tu🤣
wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini BossLakini makarai si private sector??
Dah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu 🤓wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini Boss
Nakujua nasikia ni mpare kufa kufaTukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyake![]()
hakuna aliye Opt Business chuo asijue utani wa wagavi na wahasibuDah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu 🤓
Huyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tz😆Nakujua nasikia ni mpare kufa kufa
sasa sie wengine hata shule hatuja enda mkuu😊hakuna aliye Opt Business chuo asijue utani wa wagavi na wahasibu
Daaah kwahiyo kazi ya hiki kibao cha mbuzi hapa ghetto kitakua na kazi gani mkuuWee nunua Nazi ya pakti, au wakune siku hizi Kuna mashine Bei ni 100 tu.
Masuala ya kuanza kupinda kiuno, Sio mazuri kabiSa😄🤣 Poor Brain
Usijielezee sana Boss sifa zako zilikutangulia tayari tunazoHuyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tz😆
Wanakula ugali kwa picha ya samaki 😀; imekuja vibaya hii sikukuu kwa kushtukiza ..Nakujua nasikia ni mpare kufa kufa
Aisee mme zitoa wapi Sasa 🤓Usijielezee sana Boss sifa zako zilikutangulia tayari tunazo
Sikukuu imekuja bila hodi, tulijua alhamisi tujipange 😀 😀Huyo ubahili ana igiza, Mimi ndo raisi wa Chama Cha wanaume bahili tz😆
Kigawe kwa bimkubwa nyumbani, hio mchezo wa kukuna Nazi uta Anza kubinuka kidogo😆🤣Daaah kwahiyo kazi ya hiki kibao cha mbuzi hapa ghetto kitakua na kazi gani mkuu
Upo umeujulia wapi wewe ...mimi mkurya tata mtu wa nchini😂😂😂
Imekuja ghafula sanaWanakula ugali kwa picha ya samaki 😀; imekuja vibaya hii sikukuu kwa kushtukiza ..
Duuuh ngoja nifanye hivo mkuu..Kigawe kwa bimkubwa nyumbani, hio mchezo wa kukuna Nazi uta Anza kubinuka kidogo😆🤣
kule ulipo zimwagaAisee mme zitoa wapi Sasa 🤓
SI una onaga wadada mashauzi, wanavyo panda boda😆🤣Duuuh ngoja nifanye hivo mkuu..
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤔🤔🤔🤔🤔
Wapi tena??, nili mwaga nini 😆kule ulipo zimwaga